Tarura Parking fees

Tanzania kwa sasa imeamua kuama mfumo wa kizamani wa kulipia cash wakati wa parking na kuamia kulipisha kidigitali kwa njia ya simu. Hii yote imeletwa kutokana na changamoto kubwa iliokua ikisababisha pesa nyingi ya serikali kutofika serikalini. TARURA ni Taasisi ya serikali ambayo inahusika na ukusanyaji wa hizi fedha za parking barabarani. Nakala hii itakuelekeza…

en_USEnglish