Magazeti ya Leo

Ingia hapa upate shortcut ya habari za magazeti yenye habari mpya za Leo. Taarifa hizi utazipata Kila siku kati ya magazeti ya Millardayo, Mwananchi, Mwanasport, Daily news, Majira, Bingwa, Nipashe, Tanzania Daima, HabariLeo n.k Link zifatazo zitakupa taarifa za habari siku ya leo Gazeti la Nipashe https://www.ippmedia.com/sw/nipashe Gazeti la Millardayo millardayo.com Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/…

Jamiiforums

Jamiiforums ni mtandao ambao unawapa nafasi watanzania na nchi za jirani kutoa Hoja na kuchangia mada kuhusu matukio na maendeleo ya jamii. Lengo kuu la huu mtandao ni kuhusisha mijadala ya kisiasa, sports au michezo, mapenzi, kusaidiana mawazo ya kutatua changamoto mbali mbali katika maisha na vyengine vingi. Kujiunga ni bure na ni rahisi kutumia….

en_USEnglish