
Namna ya kuangalia bima ya gari kwa simu
TIRA (Tanzania Insurance Regularatory Authority) ni taasisi inayo husika na BIMA zote tanzania. Taasisi hii imeundwa mwaka 2009 kwa lengo la kusimamia mawakala wa bima kufanya kazi kwa viwango vinavyo takiwa. Kwa upande wa magari kuna bima aina mbili ambazo ni third party na comprehensive. Third party ni bima nafuu ambazo kawaida kwenye magari mengi…