Jamiiforums
Jamiiforums ni mtandao ambao unawapa nafasi watanzania na nchi za jirani kutoa Hoja na kuchangia mada kuhusu matukio na maendeleo ya jamii. Lengo kuu la huu mtandao ni kuhusisha mijadala ya kisiasa, sports au michezo, mapenzi, kusaidiana mawazo ya kutatua changamoto mbali mbali katika maisha na vyengine vingi. Kujiunga ni bure na ni rahisi kutumia….