Magazeti ya Leo

Ingia hapa upate shortcut ya habari za magazeti yenye habari mpya za Leo. Taarifa hizi utazipata Kila siku kati ya magazeti ya Millardayo, Mwananchi, Mwanasport, Daily news, Majira, Bingwa, Nipashe, Tanzania Daima, HabariLeo n.k Link zifatazo zitakupa taarifa za habari siku ya leo Gazeti la Nipashe https://www.ippmedia.com/sw/nipashe Gazeti la Millardayo millardayo.com Gazeti la Mwananchi https://www.mwananchi.co.tz/…

Jamiiforums

Jamiiforums ni mtandao ambao unawapa nafasi watanzania na nchi za jirani kutoa Hoja na kuchangia mada kuhusu matukio na maendeleo ya jamii. Lengo kuu la huu mtandao ni kuhusisha mijadala ya kisiasa, sports au michezo, mapenzi, kusaidiana mawazo ya kutatua changamoto mbali mbali katika maisha na vyengine vingi. Kujiunga ni bure na ni rahisi kutumia….

Tarura Parking fees

Tanzania kwa sasa imeamua kuama mfumo wa kizamani wa kulipia cash wakati wa parking na kuamia kulipisha kidigitali kwa njia ya simu. Hii yote imeletwa kutokana na changamoto kubwa iliokua ikisababisha pesa nyingi ya serikali kutofika serikalini. TARURA ni Taasisi ya serikali ambayo inahusika na ukusanyaji wa hizi fedha za parking barabarani. Nakala hii itakuelekeza…

tra tanzania
TRA Calculator

Tanzania Revenue Authority (TRA) is a semi autonomous government entity responsible for Tax collection in Tanzania. All registered companies, employees and businesses which earn money in Tanzania are being evaluated and estimated for certain the amount Tax according to their earnings. Here are the shortcuts to get into Tools which will help you to calculate…

Utumishi Portal Salary Slip

Salary Slip is a document issued by employer which shows the record of employees monthly pays, allowance and deductions. As of the government employees in Tanzania, Salary Slip is issued under ministry of finance (Mof). To get salary slip you must be registered to the Utumishi Portal by providing the necessary details then later you…

How to register a Business Name in Tanzania on BRELA ORS system

Access BRELA’s ORS system Visit BRELA’s Online Registration System (ORS) – link at the end of this post. Register to the system Click the register Link provided from the information below and fill the form with necessary details and verify your registration through your email Select type of business name owner In the business name…

Jinsi ya kuangalia deni la gari

Habari wapendwa, Je unatatizo la traffic barabarani na unahitaji kulipia deni la gari lako? Au ulikua unataka kuhakikisha kama gari lako lina deni au laa? Umepoteza karatasi ya kulipia fine ya gari lako kwaio unajiuliza utafanyaje uweze kulipia deni la gari lako? Njia sahihi ni ku Bofya link ya hapo chini itakupeleka ukurasa wa kuweza…

Dawa za Asili
en_USEnglish