Jamiiforums ni mtandao ambao unawapa nafasi watanzania na nchi za jirani kutoa Hoja na kuchangia mada kuhusu matukio na maendeleo ya jamii. Lengo kuu la huu mtandao ni kuhusisha mijadala ya kisiasa, sports au michezo, mapenzi, kusaidiana mawazo ya kutatua changamoto mbali mbali katika maisha na vyengine vingi.

Kujiunga ni bure na ni rahisi kutumia. Unaweza kutumia kupitia njia ya website ambayo ni:-

Jamii forums website

https://www.jamiiforums.com

Au kwa njia ya kudownload app yake ya jamii forum kupitia link hii chini.

Jamiiforums App

https://play.google.com/store/apps/details?id=com.quoord.jamiiforums.activity