Bofya hapa kupata connection ya wanawake bure

Habari wapendwa,

Je unatatizo la traffic barabarani na unahitaji kulipia deni la gari lako?

Au ulikua unataka kuhakikisha kama gari lako lina deni au laa?

Umepoteza karatasi ya kulipia fine ya gari lako kwaio unajiuliza utafanyaje uweze kulipia deni la gari lako?

Njia sahihi ni ku Bofya link ya hapo chini itakupeleka ukurasa wa kuweza kuandika namba ya gari lako na kuona kama linadaiwa au laa. Hii link itakuwezesha pia kupata control number kwa ajili ya kufanya malipo

Au Unaweza kujaza namba za Gari lako hapo kwenye Jedwali kisha bonyeza Search utapata matokeo ya chombo chako

https://tms.tpf.go.tz/

Ingiza namba ya Gari Mf. T100 ABC

Jinsi ya kulipia deni la gari kwa njia ya Simu

Endapo utakua umekagua namba ya gari lako na kukutana na fine ambayo inatakiwa kulipwa, Unaweza tumia njia ya rahisi ya simu kufanya malipo na kuondoa deni lako

  1. Fungua menu ya malipo kama ni Airtel Money, M-pesa, tigo pesa au halo pesa
  2. Chagua namba inayo husiana na kulipia bili
  3. Mitandao mingine itakupa menu ya kuweza kuweka namba ya kampuni ambapo ukichagua utajaza 001001 baada ya hapo utajaza kumbukumbu namba ambayo ipo kwenye receipt ya faini au TMS uliopata online [ https://tms.tpf.go.tz/]
  4. Mitandao mingine itakupa option ya kujaza kumbukumbu namba mwishoni kujaza namba ya kampuni. Kwenye kumbukumbu namba jaza namba ya receipt ya TMS kwenye namba ya kampuni jaza 001001
  5. Baada ya hapo jaza kiasi cha malipo
  6. Mwisho kabisa weka namba ya siri. Deni lako litakuwa limefutika

Kwa maelezo zaidi piga simu namba 0677038217